Posts
Showing posts from March, 2019
TABIA 20 ZINAZOWAZUIA WATU WENGI KUFIKIA KATIKA MAFANIKIO MAKUBWA
- Get link
- X
- Other Apps
----------------------------- LENGO LA UJUMBE HUU NI KUKUSAIDIA NA KUKUPA MSUKUMO UTAKAOLETA MABADILIKO MAPYA NDANI YAKO YATAKAYOKUPA NAFASI YA KWENDA KUFIKIA KATIKA MAFANIKIO MAKUBWA. ------------------------------ TABIA HIZO NI KAMA IFUATAVYO: 1. NI WATENDAJI KABLA YA KUFIKIRI. 2. HAWANA AU HAWAJAJIWEKEA MALENGO. 3. WANAFIKIRI WANAJUA KILA KITU. 4. HAWAHITAJI KUJIFUNZA ZAIDI. 5. NI WAOGA WAKATI WOTE. 6. WANAKATA TAMAA KIRAHISI. 7. NI WATU WA KUPOTEZA MUDA (WASTE THEIR TIME) 8. NI WAPINGAJI WA KILA JAMBO ZURI (CRITICIZE). 9. WANATAKA KUPITIA NJIA RAHISI WAKATI WOTE KATIKA KUFANIKIWA. 10. HAWAJUI KILE WANACHOKITAKA KATIKA MAISHA YAO. 11. SIKU ZOTE NI WAHITAJI KWA WATU WENGINE. 12. WANATAKA UMAARUFU WA JINA KWA HARAKA. 13. KUFIKIRI KWAO NA KUFANYA NI KWA MTINDO HASI MUDA WOTE. 14. NI WATU WANAOJARIBU KUWASHUSHA WENGINE CHINI MUDA WOTE. 15. NI WENYE TABIA ZA KUWASEMA WENGINE MUDA WOTE. 16. WANAONGEA SANA ZAIDI YA KUSIKILIZA NA KUJIFUNZA. 17. H...
VIKWAZO NA MIPAKA YA UJASIRIAMALI
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. UKOSEFU WA UHAMASISHAJI KWA WAJASIRIAMALI. 2. UKOSEFU WA USAIDIZI WA KIFEDHA. 3. KANUNI NYINGI ZA KIUTAWALA NA KIOFISI. 4. UKOSEFU WA ARI YA KAZI KWA KIKUNDI (PAMOJA). 5. (WAKATI MWINGINE) VIKWAZO VYA KITAMADUNI. 6. NA… (VINGINE SEMA WEWE). ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
KANUNI 7 ZA MAFANIKIO KATIKA UJASIRIAMALI
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. NIA YA KUJIFUNZA NA KUONGEZA UJUZI. 2. KUFANYA KAZI YA TIMU. 3. MUAMUZI KATIKA KUFANYA MAAMUZI. 4. KUPATA MTAJI. 5. MPANGILIO WA KINA NA UFUATILIAJI. 6. UWEZO WA KUSIMAMIA KATIKA HALI YA MACHAFUKO YA SOKO LA BIASHARA. 7. KUTOA MSUKUMO KWA WAFANYAKAZI WAKO. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
SABABU 6 ZA KUFELI KWA STARTUPS KWA WAJASIRIAMALI
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. KUKOSA MKAKATI SAHIHI (STRATEJIA) WA KUKABILIANI NA WASHINDANI. 2. UDHAIFU KATIKA TIMU YA USIMAMIZI. 3. KUWASILISHA BIDHAA AU HUDUMA DHAIFU. 4. KUTOKUWA MAKINI KWA MAHITAJI YA WATEJA. 5. UDHAIFU KATIKA TIMU YA STARTUPS (UANZISHAJI WA BIASHARA). 6. MUUNDO USIOFAA WA MFANO BORA WA BIASHARA. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
NJIA 5 ZA KUJIPATIA MKWANJA MTANDAONI UKIWA UMELALA
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. TENGENEZA APP YA ANDROID. 2. ZALISHA VITABU VYA ELEKTRONIKI (SOFT BOOK) (E-BOOK) NA USAMBAZE MTANDAONI. 3. ANZISHA BIASHARA YA MTANDAONI. 4. ANZISHA USHIRIKIANO WA MASOKO (USHIRIKIANO WA MAUZO). 5. UWEKEZAJI NA UBIA. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
FURSA 150 ZA UJASIRIAMALI, BIASHARA NA MIRADI NCHINI TANZANIA
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------ ZIJUE FURSA 150 ZA BIASHARA NA MIIRADI MBALIMBALI NCHINI TANZANIA. 1. KUNUNUA MASHINE ZA KUKOROGA ZEGE NA KUKODISHA. 2. KUNUNUA MASHINE ZA KUKATA VYUMA NA KUZIKODISHA. 3. KUTENGENEZA NA KUUZA TOFALI 4. UFUNDI, WEBSITE UPDATING/ DATABASE: KATIKA HALMASHAURI, MANISPAA, MASHULE, WIZARA, WILAYA NA MAKAMPUNI MBALIMBALI. 5. KUANZISHA KITUO CHA REDIO NA TELEVISHENI 6. KUFUNGA NA KUTENGENEZA VIFAA MBALIMBALI VYA ELECTRONIKI NA MAWASILIANO MFANO; COMPYUTA NA VIFAA VYA COMPYUTA NA MAWASILIANO. 7. KUUZA SOFTWARE; MFANO ANTIVIRUS, OPERATING SYSTEMS, PASTEL, TALLY, MYOB, N.K 8. KUSHONA NA KUUZA NGUO. 9. KUFUNGUA DUKA LA KUUZA NGUO MPYA; SUIT, SOCKS, BATIKI, NGUO ZA ASILI, MASHUKA, MASHATI, SURUALI, 10. UFUGAJI WA MIFUGO MBALIMBALI MFANO KONDOO, MBUZI, NG'OMBE, KUKU, BATA, NA WENGINE. 11. KUFUNGUA STATIONERY, KUUZA (SUPPLY) VITABU NA VIFAA MBALIMBALI KTK MASHULE NA VYUO. 12. KUTOA USHAURI MBALIMBALI WA KITAALAMU. 13. KUUZA VIAZI, MAHIN...
KANUNI SABA (7) ZA MAFANIKIO KATIKA UJASIRIAMALI:
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. NIA YA KUJIFUNZA NA KUONGEZA UJUZI. 2. KUFANYA KAZI YA TIMU. 3. MUAMUZI KATIKA KUFANYA MAAMUZI. 4. KUPATA MTAJI NA KUUMBA. 5. MPANGILIO WA KINA NA UTAFUTAJI. 6. UWEZO WA KUSIMAMIA KATIKA HALI YA MACHAFUKO YA SOKO LA BIASHARA. 7. KUTOA MSUKUMO KWA WAFANYAKAZI WAKO. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
ISHARA ZA KUWA KWAKO MJASIRIAMALI:
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. UMEORODHESHA MALENGO YAKO MAKUU. 2. UNA SHAUKU KUBWA. 3. UNA MABADILIKO MENGI. 4. UENDELEVU NA KUJITOLEA. 5. UNA MPANGO WA KUENDELEA NA NJIA YA MALENGO YAKO. 6. UNAWEZA KUWASHAWISHI WENGINE NA KUWAHAMASISHA. 7. BAADHI YA NYAKATI UNAKUBALIANA NA HATARI. 8. UNA UHUSIANO MZURI NA WENGINE. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
MAMBO 10 AMBAYO HATUFUNDISHWI SHULENI!!
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. JINSI YA KUFIKIRI. 2. JINSI YA KUUZA. 3. JINSI YA KUJADILI AU KUBADILISHANA MAWAZO. 4. JINSI YA KUSIMAMIA MUDA WETU NA PESA. 5. JINSI YA KUWEKEZA. 6. JINSI YA KUWA NA UFANISI. 7. JINSI YA KUJENGA BIASHARA. 8. JINSI YA KUWA NA MAISHA MAZURI. 9. JINSI YA MAWASILIANO MAZURI. 10. JINSI YA KUWA WABUNIFU WATAALAMU KATIKA KAZI YETU. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
KANUNI KUMI ZA MAFANIKIO
- Get link
- X
- Other Apps
KANUNI KUMI ZA MAFANIKIO YA BILL GATES KWA WAJASIRIAMALI: ------------------------- AMINI MAWAZO YAKO. UNDA BIDHAA BORA ZAIDI. DAIMA ENDELEA NA KUJIFUNZA. JIFUNZE JINSI YA KUSEMA NENO (HAPANA). UNDA KIGEZO. PANGILIA MALENGO MAKUU WEWE MWENYEWE. JIFUNZE KUTOKA KWA WATEJA WASIO NA FURAHA. ELEWA UMUHIMU WA MUDA. ONGEA NA WENGINE KUHUSU KAZI YAKO. JIFUNZE, ENDELEA KUJIFUNZA, USIACHE KUJIFUNZA! ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
TASWIRA TANO (5) ZA MAKOSA JUU YA UJASIRIAMALI:
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. UJASIRIAMALI NI BORA KULIKO UFANYAJIKAZI/ KUAJIRIWA. 2. UJASIRIAMALI NI FASTA. 3. FEDHA NDIO JAMBO KUU. 4. KWENDA CHUO KIKUU: NDIO NJIA PEKEE YA KUWA MJASIRIAMALI. 5. UJASIRIAMALI UNA MUDA WAKE WENYEWE. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
NYADHIFA NNE (4) MUHIMU YA USIMAMIZI KATIKA BIASHARA
- Get link
- X
- Other Apps
NYADHIFA NNE (4) MUHIMU YA USIMAMIZI KATIKA BIASHARA ZA MTANDAONI: ------------------------- 1. MSIMAMIZI/ MKURUGENZI WA MASOKO. 2. MSIMAMIZI/ MKURUGENZI WA UTAFITI NA MAENDELEO. 3. MSIMAMIZI/ MENEJA WA MSAADA. 4. MSIMAMIZI/ MENEJA WA BIDHAA. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
NJIA 6 ZA KUWA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO:
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------- 1. KUANDAA LENGO LAKE MWANZONI. 2. KUWA MWENYE MAPENZI NA KILE ANACHOTAKA KUFANYA. 3. KUCHUKUA MAWAZO YA WENGINE. 4. UTAFITI WA SOKO LA AJIRA. 5. MIPANGO KULINGANA NA MTAJI ALIOKUWA NAO. 6. KUMVUTIA MWEKEZAJI MZURI. ------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
HEKIMA ZA LEO: JE! KAULI ZA MAFANIKIO NDIO MAFANUKIO?.
- Get link
- X
- Other Apps
LUGHA YA MWILI KWA MJASIRIAMALI
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------- ISHARA ZA KAWAIDA AMBAZO NI ZA HESHIMA NA URAFIKI NI HIZI ZIFUATAZO: 1. KUWA MWENYE TABASAMU MARIDHAWA KWA MTEJA NA KWA MOYO MKUNJUFU. 2. KIFUA NA MIGUU YAKO IELEKEE MBELE WAKATI WA KUZUNGUMZA NA MTEJA WAKO. 3. KUPANGILIA MAZUNGUMZO YAKO, BILA KUKATISHA MLOLONGO WA MANENO. 4. SHIRIKI MAJADILIANO NA UDADISI. 5. FURAHIA KIDHATI KUTOKANA NA NAFASI YAKO. 6. USIVUTIE MAWAZO YAKO UPANDE WAKO MWENYEWE. 7. FANYA MAWASILIANO YA MACHO KATI YAKO NA MTEJA WAKO. 8. ZINGATIA KISHA AKISI HARAKATI ZAKO WAKATI WA MAZUNGUMZO. 9. KUTIKISA KICHWA KWA ISHARA YA KUUNGA MKONO MAZUNGUMZO PINDI UNAPOZUNGUMZA. 10. JARIBU KUGEUZA GEUZA KICHWA CHAKO WAKATI UNAPOZUNGUMZA. 11. ZUNGUMZA WAKATI UNAPOHITAJIKA KUZUNGUMZA. 12. IKIWA MSIKILIZAJI NI JINSIA TOFAUTI NA ISHARA ZOTE HIZI ANAZO, BILA SHAKA ATAVUTIWA NA WEWE KUTOKANA NA UJASIRI WAKO WA KUJIAMINI WAKATI WA MAZUNGUMZO! ----------------------- TAFAKARI…!!!
ELEZA HISIA ZAKO HASI
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------- JAMBO MUHIMU NI KWAMBA, IKIWA HUSEMI KERO YAKO MWENYEWE, HUENDA WATU WASIELEWE NINI UNAHISI. BADALA YA KUONYESHA HASIRA NA KUNUNA NUNA (KWA MFANO, KUNUNG'UNIKA, KUTOZUNGUMZA NA MTU YEYOTE, KUPIGA KELELE NA MISONYO, KUTUKANA NA KUSEMA MANENO MABAYA), TUMIA MANENO YANAYOFAA KUELEZEA HISIA ZAKO. KWA KUONYESHA HISIA ZAKO, UNA MAZINGIRA SAHIHI YA KUTATUA TATIZO LA HISIA HIZO ZINAZOKUKERA MOYONI. ---------------------- TAFAKARI…!!!
AINA ZA WATU HAWA NI KIKWAZO CHA FURAHA YAKO.
- Get link
- X
- Other Apps
--------------------------- AINA 7 YA MAKUNDI HAYA YA WATU FUTA KATIKA MAISHA YAKO ILI USALIMIKE: 1. MTU ASIYEKUPENDA. 2. MTU ALIYEVUNJA HESHIMA YAKE KWAKO. 3. MTU ANAYEKUPA WASIWASI KILA MARA. 4. MTU ANAYEKUGOMBEZA KILA MARA. 5. MTU ANAYEKUTUMIA KWA FAIDA ZAKE. 6. MTU ANAYEKUPANDIKIZA ATHARI MBAYA ZENYE KUHARIBU MUSTAKABALI WA MAISHA YAKO. 7. MTU AMBAYE MADHAMBI NI FURAHA KWAKE. --------------------------- TAFAKARI…!!!
SIRI 31 ZA MAFANIKIO KATIKA MAISHA: 2.
- Get link
- X
- Other Apps
----------------------- SIRI YA KUMI NA MOJA. MATATIZO YETU NI YENYE KUTUPATIA NGUVU NA KUTUONGOZA KWENYE USHINDI MKUBWA. UKWEAJI WA MLIMA SIO SUALA RAHISI, LAKINI MANDHARI YAONEKANAYO JUU YA KILELE CHA MLIMA HUWA NI MAZURI SANA. ----------------------- SIRI YA KUMI NA MBILI. UPE NGUVU UTASHI WAKO. JIHAMASISHE MWENYEWE KUFANYA MAMBO AMBAYO NI MAGUMU KWAKO. KISHA YAFANYE KWA BIDII KUBWA. BAADA YA MUDA, UTAONA KUWA UTASHI WAKO, NI MFANO WA CHUMA IMARA CHENYE NGUMU NA NG'AAVU. ----------------------- SIRI YA KUMI NA TATU. ZINGATIA KAZI YAKO KWA UWEZO WA NGUVU ZAKO. VIOO VYA RANGI VYA MADIRISHA YA NYUMBA ZA IBADA HUWA VIZURI SANA PINDI VINAPOPITIWA NA MWANGA/ NURU YA JUA AMBAPO WAKATI HUO VYATOA NURU. KAZI YAKO IKIWA UTAIFANYA KWA UWEZO WA NGUVU ZAKO, HAKIKA ITAPENDEZA NA KUWA NZURI. ----------------------- SIRI YA KUMI NA NNE. UNAPODHAMIRIA/ UNAPOAMUA KUFANYA KITU, USIJIULIZE: WENGINE WALIFANYAJE NA WAMETUMIA NJIA GANI? BALI JIULIZE: NITAWEZAJE KUIFANYA...
SABABU YA MAJUTO BAADA YA NDOA:
- Get link
- X
- Other Apps
WAKE KWA WAUME TAMBUENI HILI: ------------------- KWA SABABU HUKUFUATILIA TABIA ZA MWENZA WAKO NA KUZIHAKIKI. KWA SABABU HUJUI JINSI MWENZA WAKO ANAVYOONYESHA UPENDO WAKE. KWA SABABU HUKUELEWANA MWENZA WAKO NA KUKUBALIANA NAE JUU YA IDADI YA WATOTO NA ELIMU YAO PAMOJA NA MALEZI YAO. KWA SABABU HUKUJUA UHUSIANO WA FAMILIA YA MWENZA WAKO. KWA SABABU HUJUI JINSI GANI MWENZA WAKO ANAVYOYAPOKEA MATATIZO. KWA SABABU YA TOFAUTI ZA KIIMANI NA ZA KIDINI, NA HAMKUWEZA KUZIHESHIMU TOFAUTI ZENU. KWA SABABU HUKUJUA NINI MWENZA WAKO ANATARAJIA KUTOKA KATIKA NDOA. KWA SABABU HUKUJUA NINI MALENGO YA MWENZA WAKO KATIKA MAISHA. KWA SABABU HUKUULIZA NINI MWENZA WAKO ANATAKA KUFANYA KUHUSU KAZI YAKE KATIKA SIKU ZIJAZO. KWA SABABU MIAKA MICHACHE BAADA YA NDOA YENU HUKUTARAJIA WALA KUTABIRI KITAKACHOTOKEA. KWA SABABU HUKUCHUNGUZA KILA KITU KUHUSU MWENZA WAKO. KWA SABABU NDOA YENU ILIKUWA KWA MISINGI WA MAZOEA YA MAHUSIANO TU, NA SIO KWA MISINGI YA UPENDO. -------------------...
FAIDA 7 ZA JUISI YA NYANYA
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------------- HUSAIDIA KUULINDA MWILI DHIDI YA KOLESTEROLI. JUISI YA NYANYA INA KIASI KINGI CHA VYANZO VYA VITAMINI A NA C. FAIDA NYINGINE KUBWA YA JUISI YA NYANYA NI UWEZO WAKE KATIKA KUKUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO ULIOZIDI MWILINI. KAMA KUNA JUISI NZURI KWA MWILI BASI NI JUISI YA NYANYA, NA NDIYO MAANA NYANYA NI KIUNGO KWA KARIBU KILA MBOGA JIKONI. JUISI YA NYANYA PIA INA KIASI KINGI CHA VITAMINI B6. JUISI YA NYANYA HUONDOA SUMU KWA URAHISI ZAIDI MWILINI SABABU INA KIASI CHA KUTOSHA CHA KLORINE NA SULFUR. RANGI NYEKUNDU KATIKA NYANYA NI MATOKEO YA KIMIMINIKA MAFUTA KIITWACHO ‘LYCOPENE' AMBACHO KAZI YAKE KUU NI KUONDOA SUMU MWILINI. ---------------------------- Unahitaji; Nyanya kubwa 8. Jira (cumin seeds) vijiko vya chai viwili. Pilipili manga nyeusi ya unga (black pepper powder) robo kijiko cha chai. => Safisha nyanya vizuri, nyanya zilizoiva vizuri lakini siyo zilizoiva sana. Iondoe sehemu ya juu ya nyanya (kikonyo), kata vipande vido...
TABASAMU
- Get link
- X
- Other Apps
UMUHIMU WA TABASAMU KATIKA MAWASILIANO YENYE MAFANIKIO. ---------------------- MOJA YA TABIA AMBAZO ZINAONGEZA NGUVU YA KUVUTIA WATU NI KUTABASAMU. KUTABASAMU KUNAFANYA UONEKANE MTU CHANYA NA MWENYE KUPENDWA. KWA KUTABASAMU, UNAAMSHA ATHARI ZA KIHISIA KWA NAMNA AMBAYO KWAMBA INAWAINGIA WENGINE. TABASAMU LA KUPENDEZA LINAKUWA NI UFUNGUO WA MAFANIKIO YAKO KATIKA MAHUSIANO TOFAUTI. ---------------------- TAFAKARI...!!!
TUTAFUTE UTASHI…
- Get link
- X
- Other Apps
Ili kufikia lengo, pamoja na tamaa ya ndani na ya dhati, lazima TULINDE MAAMUZI na utashi pamoja na nukta za lazima katika maisha yetu: Tujitengenezee wenyewe MAWAZO Yetu na tuangalie nini hasa tunachotafuta. shaka, machafuko na migogoro ndio vizuizi vinavyozuia kupiga hatua hoja kwenda mbele. Hebu tuangalie sababu za malengo yetu na kiasi cha nia ya kuyafikia. Tujiwekee ahadi kwenye lengo letu na kuLItanguliza kwa kuLIpa kipaombele na kuainisha wakati wa kuLIfikia. Tuimarishe utashi wetu mara moja tu kama tuipavyo nguvu misuli. tuzuie kutokea uchovu na kudhoofisha utashi wetu. Kwa ufafanuzi huu ni kwamba, utashi wetu ni msingi wa nishati, na kwa ajili ya ufanisi wa kazi, ni lazima uimarishwe kwa namna fulani, ILI uwe NI SHINA lENYE nguvu. ---------------------- TAFAKARI…!!!
RAMANI KUMI MUHIMU ZA MAISHA
- Get link
- X
- Other Apps
1. KITU AMBACHO HUFANYA HATIMA YA MAISHA YA MWANADAMU SIO “TAALUMA ZAKE”, LAA HAASHA, BALI NI “UCHAGUZI WAKE”... 2. KUTOISHI MAISHA MAZURI, USISINGIZIE UFUPI WA MAISHA YAKO, MAISHA SIO MAFUPI, ILA SISI NDIO TUNAZEMBEA. 3. WAKATI HAKUNA MTU ANAYEJUA UWEZO WAKO, BASI USIJICHOSHE KWA KUJITETEA NA KUJIELEZA. 4. USIHUZUNIKIE KILE KILICHOTOKEA NA KILE KILICHOSHINDIKANA NA KILE AMBACHO HAKIKUTOKEA WALA HAKIJITOKEA, LAITI KAMA MAISHA YANGELIKUWA RAHISI, WENGI WASINGEANZA KWA KILIO. 5. KUVUMILIA WATU AMBAO WANADAI KUWA NA BUSARA NI VIGUMU KULIKO KUVUMILIA WATU WASIOKUWA NA HEKIMA. 6. VIKWAZO NI MAMBO YALE YA KUTISHA YANAYOTUFIKIA TUNAPOFUMBIA MACHO LENGO LETU TULIKUSUDIALO KULIENDEA! 7. IKIWA HUTAKI KUSIKIA UONGO, USING'ANG'ANIE WALA USILAZIMISHE KUAMBIWA KWELI. 8. KUMBUKA, WAKATI WOWOTE UNAPOFIKIA KILELE CHA MLIMA, TAMBUA KUWA KWA WAKATI MMOJA UNASIMAMA KWENYE BONDE LA KINA… 9. KAMWE USISHINDANE NA MTU MJINGA, KWANI, WATAZAMAJI HAWAWEZI KUTAMBUA TOFAUTI KATI YENU...
MALENGO YA MAISHA.
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------- ORODHA YA TABIA NZURI AMBAZO TUNAWEZA KUONGEZA KATIKA MAISHA AMBAZO NI MFANO BORA ZAIDI: 1. ANGALAU KILA WIKI TUSOME KITABU KIMOJA. 2. ANGALAU TUFANYE MAZOEZI NUSU SAA KILA SIKU. 3. KILA SIKU USIKU, TUANDIKE ORODHA YA KAZI ZETU ZA KESHO. 4. KILA SIKU USIKU, KWA DAKIKA CHECHE TUANDIKE YALOJIRI MCHANA. 5. KILA SIKU KWA DAKIKA ISHIRINI TUJIFUNZE LUGHA ISIYO YA ASILI (YAANI LUGHA NGENI). 6. ANGALAU KILA SIKU TUOMBE AU KUTAFAKARI KWA DAKIKA KUMI. 7. KILA SIKU TULE CHAKULA KIZURI CHA NYUMBANI NA CHENYE AFYA. 8. TUAMKE MAPEMA KILA SIKU ASUBUHI. 9. ANGALAU KILA SIKU TUMSAIDIE MTU MMOJA AU TUFANYE HALI YAKE KUWA NZURI. 10. TUONDOE MANENO YASIYOFAA KUTOKA KWENYE MAZUNGUMZO YETU. ---------------------- TAFAKARI…!!!
NYAMAZA
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------- INATOSHA KUHARIBU NA KUBOMOA HISIA ZA MSIKILIZAJI KWA KUZUNGUMZA SENTENSI YOYOTE HASI KUHUSU MAISHA NA UTU WAKE. KWAKO WEWE NI RAHISI SANA KUTAMKA SENTENSI HIZI, LAKINI NI KIASI GANI KWA MWENZIO NI JAMBO ZITO? IKIWA NI KWA MTU AMBAYE ANAJIKUBALI MWENYEWE NA KUJIAMINI, HILO SI TATIZO. LAKINI IKIWA UJASIRI WAKE NI MDOGO, UTAKUWA NI SABABU WA HILI, KWAMBA YEYE SIKU ZOTE ATAWEKA MANENO HAYA KATIKA AKILI YAKE. ---------------------- SIKU ZOTE AINA MBILI ZA WATU HAWA HUWA NA BAHATI MBAYA YA MAISHA: WALE WASIOMSIKILIZA MTU YEYOTE (WENYE KUAMINI MAONI YAO TU). WALE WANAOMSIKILIZA KILA MTU (WAOKOTAO MANENO KILA KONA). ---------------------- SENTENSI TANO ZENYE KULETA ATHARI NZURI KWENYE MAISHA: CHANGAMOTO YOYOTE KWAKO NI FURSA YA UKUAJI NA MAENDELEO. WEWE NI MATOKEO YA MAWAZO AMBAYO UMEWAHI KUWA NAYO. IKIWA UTAENDELEA NA TABIA ZA KALE, MAISHA YAKO HAYATAKUWA BORA. MADAMU BADO UNAWATUPIA MPIRA WATU WENGINE KUWA NDIO CHANZO CHA KUSHINDWA KWAKO, KAMWE...
MAFANIKIO IMARA
- Get link
- X
- Other Apps
WAKATI HUO AMBAO WENGINE WANAKATA TAMAA, WATU WENYE MAFANIKIO NDIPO WANAENDELEA. --------------------- NDOTO ZA MAISHA SI KILE KITU UKIONACHO USIKU USINGIZINI… BALI NDOTO HIZO NI KILE KITU KIKUZUIACHO WEWE USIKU KULALA ILI KUFIKIA MAFANIKIO...!! ------------------- KIMYA KIMYA FANYA KAZI KWA NGUVU, ACHA MAFANIKIO YAKO YENYEWE YAPIGE KELELE… --------------------- IKIWA UNAFIKIRIA KUWA GHARAMA ZA KUFIKIA MAFINIKIO YAKO NI NYINGI, BASI ENDELEA KUSUBIRIA ILI UONE RISITI YA UZEMBE WAKO. --------------------- WATU WATULIVU NI WALE AMBAO KWAMBA; WAKATI WAFIKWAPO NA MATARAJIO YASIO SAHIHI, BASI HAWALAZIMISHI KUNDELEA. KWA AJILI YA KUPAA JUU ZAIDI, WAKATI MWINGINE YAHITAJIKA KURUDI NYUMBA HATUA KADHAA. --------------------- FURSA MOJA NI MFANO WA BISKUTI AMBAYO TUICHOVYAYO KWENYE CHAI, KWA UZEMBE NA UZOROTAJI MDOGO TU INATOSHA KUIPOTEZA!!! ---------------------
MAMBO 10 MUHIMU KWA MJASIRIAMALI
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------- Vidokezo KUMI (10) muhimu kwa ajili ya kuboresha ujuzi wa mawasiliano: 1. Kuwa msikilizaji halisi! 2. ongeza hisia ya maliwazo yako Na huruma. 3. Kuwa mfupishaji na muelezaji Wa faida kwa mukhtasari. 4. mtambue msikilizaji wako. 5. Weka mbali tabia yako ya mparaganyiko wa mawazo. 6. Uliza maswali na uulize mara kwa mara. 7. Elezea hekaya kwa ufupi KAMA MFANO KATIKA MAZUNGUMZO YAKO. 8. Kuwa na utayari wa akili kwa ajili ya kuanza na kusimamia mazungumzo mafupi. 9. epuka kueleza maneno yasiyo ya lazima katika mazungumzo yako. 10. Jihadhari na lugha yako ya mwili. TAFAKARI…!!!
SIRI 31 ZA MAFANIKIO KATIKA MAISHA
- Get link
- X
- Other Apps
SIRI YA KWANZA (1). Furahia kazi uIFANYAYO bila MANUNGUNIKO. KWANI manunguniko pekee yatakufanya uchoke Na KAMWE hayatakuruhusu kufanya jambo sahihi. Lakini ikiwa utaifanya kazi mfano wa rafiki kwako utaona mafanikio. NI mfano wa mbwa, ambaye atakayekufuata kila mahali. SIRI YA PILI (2). Jaribu kufanya kazi yako vizuri zaidi Kwa moyo wako. na Si tu kwamba huna budi kufanya hivyo. Unahitaji kuwa Na imani kwa kazi yako. Maji yenye mafuriko dhaifu, HUTOSHA Kumwagilia nusu ya bustani. SIRI YA TATU (4). Kubaliana na kila kitu Kama vilivyo. utashi pekee, hakuna kitu utakachobaDIlisha. utashi, hauzuii kuvuma kwa upepo na hauyeyushi theluji kuwa maji. Ikiwa unataka kufanya mambo bora zaidi kuliko kama yalivyo, basi kabiliana navyo kama vilivyo. SIRI YA NNE (4). Jifunze kuwa MWENYE furaha. Usiruhusu wengine kuamua kwa ajili ya furaha yako. Wewe mwenyewe kuwa kiongozi wa kiwanda cha furaha yako. SIRI YA TANO (5). weka huru akili yako kama mawingu meupe yatandaAyo mb...
SANAA YA PEKEE
- Get link
- X
- Other Apps
Mfalme mmoja alikuwa MLEMAVU WA jicho moja na mguu mmoja. ambapo Mfalme huyo aliALIKA wachoraji wote wa eneo la mamlaka yake kumchora picha nzuri mno itakayomridhisha awapo ataiangaliA. Lakini hakuna aliyeweza kuchora picha nzuri, licha ya kasoro zilizokuwepo katika jicho moja na mguu wa mfalme? Hatimaye mmoja wa wachoraji aliJITOKEZA NA KUsema anaweza kufanya hivyo na kuchora picha nzuri itakayoweza kumridhisha mfalme. hakika Uchoraji wake ulikuwa mkubwa na kushangaza kila mtu. yeye alimchora mfalme kwa namna ambayo KWAMBA alikuwa akilenga kiwindo pindi akiwa katika uwindaji, alilenga akiwa mwenye kufumba jicho moja, na mguu mmoja akiwa ameukunja. FUNZO: Kwanini sisi hatuwezi kuwachora watu wengine picha za namna hii? kwa namna AMBAYO KWAMBA TUNAWEZA Kuficha udhaifu wao na kuELEZA MAZURI YAO. TAFAKARI…!!!
MAISHA YAMENIFUNZA:
- Get link
- X
- Other Apps
Maisha YAMENIFUNZA kufanya moyo wangu mji wa nyumba za upendo, na njia zake za uvumilivu na msamaha, kutoa na kuTOsubiri MAJibu YA WEMA, kuJIamini mimi mwenyewe kabla ya kuMuOMBa mtu yeyote kunielewa, na YAMEnifunZa kuTOJUTIA kitu fulani, na kufanya tumaini LANGU KUWA NDIO MWANGA UNAONIONGOZA kila mahali. Maisha YAMENIFUNZA kwamba wakati ninapofurahi nionyeshE furaha yangu ILI NIWAFURAHISHE NA WALIONIZUNGUKA, na wakati NINAPOKUWA MWENYE huzuni, NIFICHE huzuni yangu kama AMBAVYO MASIKA HUFICHA athari za KIANGAZI. Maisha YAMENIFUNZA kuwa MFANO WAKE, na kuvaa mavazi MAsafi na YA UCHAMUNGU. Maisha YAMENIFUNZA kuwa laini kama majani ya mti, NA KUWA imara kama mizizi yake, na MKAKAMAVU kama GOGO LAKE, na Mzuri kama harufu yake. Maisha YAMENIFUNZA kuwa kama udongo wenye rutuba, NINAEMPA mtu aliyepanda matunda yake bila kusubiri MBADALA. Maisha YAMENIFUNZA kuwa MFANO WA KOBE kATIKa njia sahihi, NI bora zaidi kuliko kuwa nguruwe kATIKa njia isiyo sahihi. Maisha YAMENIFUNZA kwamba...
TAHADHARI YA ULIMI
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------------- Kwa ulimi: 1. Yumkini kumdhihaki mtu mwingine. 2. Yumkini kumhamasisha mtu mwingine. 3. Yumkini kumpinga mtu mwingine. 4. Yumkini kumsifia mtu mwingine. 5. Yumkini kumvunja moyo mtu mwingine. 6. Yumkini kumliwaza mtu mwingine. 7. Yumkini kuvunja heshima ya mtu mwingine. 8. Yumkini kununua heshima ya mtu mwingine. 9. Yumkini kuibua mfarakano baina ya watu. 10. Yumkini kuwasha moto wa fitina. 11. NA Kwa “ulimi” yumkini kuzima moto wa fitina pia Wakati tunapoanza kuongea tuwe makini na NDimi Zetu juu ya kile tunachoKIongea. --------------------------- TAFAKARI…!!!
MAANA HALISI YA JITIHADA
- Get link
- X
- Other Apps
Ikiwa utafanya jitihada za kutafuta, Upo uwezekano wa kufeli... Lakini ikiwa utazembea, kufeli kwako ni jambo lisilopingika!!! ---------------------- Kitu kinachofanya wewe uzame/ kughariki sio kuangukia majINi, wala kubaki chini ya maji na kutoinuka/ au kuelea juu; bali ni makosa ya tabia ambazo hujirudia ndio zinazo gharimu maisha yako. “Kuwa makini tusIbaki katika makosa yetu”. --------------------------- Ikiwa una nia ya kumpinga au kumshtaki mtu yeyote. Kabla ya kumpinga na kueleza matatizo ya hotuba na tabia ya upande mwingine, kwanza toa maelezo mafupi ya mema yake, mazuri yake na uwezo wake, ambayo humfanya ahisi kama wewe ni rafiki KWake na SI Mpinzani KWAKe. Na hivyo atakuwa tayari kusikia maneno yako. TAFAKARI…!!!
Epuka maneno ya ziada katika mazungumzo yako:
- Get link
- X
- Other Apps
Jaribu kuepuka kusema maneno kama vile “Sawa”, “kwa kweli”, “kwa namna fulani”, na pia sauti kama vile “ooh”, “aaahm”. kwani Watu hutumia maneno haya ya ziada na dhaifu kwa sababu wanafikiri (mzungumzaji) anaweza kuchukua muda wa kufikiri. TAMBUA KUWA huyahitajii. wakati ulionao NI kwa ajili ya kufikiria kitu kingine unachotaka kukisema, NA usiwe na huzuni kwa ukimya wako. hakika Kwa njia hii, utaonekana kuwa mwenye ujasiri. TAFAKARI…!!!
SIMAMA MWENYEWE UTAFANIKIWA
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------- Bahari NZIMA... Haiwezi kuizamisha mashua, isipokuwa pale litakapokuwa lImetoboka... vile vile Watu hasi wa DUNIAni pia... Hawawezi kukudharau, isipokuwa pale utakapo waacha waingie ndani yako...! ---------------------- ili kufuta watu wenye sumu katika maisha yako, kamwe Usijihisi kuwa mwenye hatia, wala huzuni, na kamwe usijutie... Haijalishi awe ni katika ndugu zako, au uwapendao, au jamaa Zako WApya katika maisha yako... Huna ulazima wa kufungua nafasi kwa mtu ambaye hukusababishia maumivu na unyonge ndani YAKO... kutengana ni jambo la uchungu na la kutisha! Lakini kumpoteza mtu ambaye hakuthamini wewe na hakuheshimu Kwa kweli, ni faida, na sio hasara... NA KAMWE Usijaribu kumfahamISHA mtu thamani YAKO... Ikiwa mtu hatambui thamini HIYO, hii imaanA kwamba hakustahili kuwa pamoja nawe JIJENGEE HESHIMA WEWE MWENYEWE… ---------------------- Ni a heri kushikilia kamba ya kale! Kuliko kushikilia mkono wa mtu asiye muungwa! Ni a heri kuwindwa na S...
ZINDUKA MAPEMA
- Get link
- X
- Other Apps
Kuomba msamaha si udhalili, bali ni kuonyesha hisia. ---------------------------- Kumpenda mtu asiyekupenda, itabaki kuwa mfano wa kumkumbatia mpungate (cactusman), kadri umkumbatiavyo kwa nguvu, ndivyo utakavyo endelea kuumia wewe mwenyewe… ------------------------------ UMAKINI KATIKA KUZINDUKA: Hakika wanawake ni muujiza wa Mwenyezi Mungu. Wakati ukimwangalia mwanamke kwa maumbile yake ya uwanamke, Utaamini kwamba Mwenyezi Mungu katika kumuumba kwake, Ameamsha kiyama, hakika. TAFAKARI...!!!
JENGA SIKU YAKO
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------- Kila mtu anasema: kuwa na siku nzuri Lakini mimi nasema: mwenyewe ifanye siku yako iwe nzuri! Usifikiri juu ya siku nzuri kukujia; kwani hazitakuja. kuwa mwenye Fikira ya kuitengeneza, kwani siku nzuri lazima zitengenezwe! ---------------------- Unapokumbana na matatizo, kumbuka kuwa kuna njia suluhisho la hakika. Kwa sababu kila kitu kinakuwa na pacha wake kwa sababu kila baada ya kuporomoka, kuna kuinuka. Na baada ya kila usiku, mchana unakuja fanya akili yako Kuzingatia juu ya njia ya ufumbuzi. ili Kutoka kwenye chumba unapaswa kuupata mlango, na sio kwamba ufikirie kuta za nyumba! ---------------------- TAFAKARI…!!!
FUATA HAYA ILI UFANIKIWE KATIKA KILA JAMBO
- Get link
- X
- Other Apps
JAMBO HILI HALIFUNGAMANI YA ALIYEOA/ KUOLEWA, AU AMBAYE HAJABAHATIKA KUOA/ KUOLEWA, CHA MSINGI FANYA MAZOEZI JUU YA HILI: 1. Wakati mwingine maisha huwa Ni ngumu na wakati mwingine sisi ndio tunayafanya kuwa magumu mno. 2. Wakati mwingine tuna amani, lakini tunaiharibu sisi wenyewe. 3. Wakati mwingine tuna vitu vingi, lakini tupuuzia kuviangalia vile tunavyomiliki. 4. Wakati mwingine hali yetu Ni nzuri, lakini kwa wasiwasi wa siku ya kesho tunaiharibu. 5. Wakati mwingine tunaweza kusamehe, lakini tunajidekeza Kwa kulipiza kisasi. 6. Wakati mwingine tunaweza kuendelea Na maisha yetu ya kawaida, lakini kwa hamu tu tunafuta ndoto zetu. 7. Wakati mwingine tunapaswa kuachana Na kile kisicho na muhimu nasi, lakini tunakiendeleza kwa ujinga. 8. Wakati mwingine… wakati mwingine… wakati mwingine... 9. Tunafanya makosa wakati wote Na hatujui au hatutaki kujua... 10. Laiti kama tungekuwa makini sisi wenyewe, maamuzi yetu na wakati mwingine... nyakati nyingine zingeku...
HATUA KUBWA
- Get link
- X
- Other Apps
BUSARA NDIO NJIA YA MAFANIKIO MPNZ MFUATILIAJI WA HEKIMA ZA LEO, KARIBU KWENYE BLOG YANGU KWA JINA LA (HEKIMA ZA LEO) INAYOKULETEA HEKIMA ZAKE MBALIMBALI, KUWA NAMI KATIKA MFULULIZO WA HEKIMA HIZI ILI UNUFAIKE NA HEKIMA PAMOJA NA BUSARA ILI UFIKIE MALENGO KWA NASAHA UTAKAZOJIFUNZA KUPITIA BLOG HII. 1. Kila hatua kubwa mwanzowe huwa muhali kimuono. 2. Historia ni marudio yasio na mwisho ya makosa katika maisha ya Mwanadamu. 3. Watu pekee wa kuishi nao ni wale wenye mafaniko, kwani hakuna aliye na haja ya ushindani. 4. Pindi mtu atakapokosa anachohitaji hana budi kukubali kilichopo hata kama si bora. 5. Usiazimie kuwa rafiki ya wabaya, wasipo kudhalilisha, watakusimanga. TAFAKARI...!!!
NJIA BINAFSI
- Get link
- X
- Other Apps
Dalili 5 ambazo kwamba; kwanini katika njia ya mafanikio yetu hatupaswi kusikiliza maneno ya kila mtu? Kwa sababu… 1. Ni wewe mwenyewe unaye tambua vyema uwezo wako ni upi, na si watu. 2. Ni wewe mwenyewe unaye fahamu vyema kuwa, wewe ndiye msababishaji wa furaha yako, na si watu. 3. Ni wewe mwenyewe unaye jua lengo lako na makusudio yako katika maisha, na si watu. 4. Ni wewe mwenyewe ndiye mwenye hamu kubwa ya kufikia lengo, na si watu. 5. Ni wewe mwenyewe unayeweza kutekeleza matakwa yako, na si watu. TAFAKARI...!!!
KWA NJIA ZIPI UTAWEZA KUMVUTA MUME WAKO?
- Get link
- X
- Other Apps
Kuwa mwenye nguvu wakati uwapo pamoja naye. Usimtarajie kutumia muda wake wote kufanya kazi yako. Kwa kuwa ni mtu mzuri na mwema basi mpe shukurani. Hata kwa kutokuwapo kwake, mtaje kwa wema mbele za watu wengine. Shirikiana naye katika jambo la zako hisia, lakini fikisha wazo lako kwa mukhtasati. Mtajie angalau mambo matatu mazuri ayatendayo. Jifaharishe nae uwapo mbee za watu baki. Amka pamoja naye asubuhi hata kama huna italazimika kuamka mapema. Kuwa msaada wake wakati wa mazingira magumu. Mkubali katika hali yoyote na kamwe usimtose. Usipate hasira wakati awapo mwenye ghadhabu. Msaidie kufikia malengo yake. Msaidie kuondokana na tabia zake mbaya. Usimlinganishe pamoja na watu wengine. Tafakari…!!!