Posts
Showing posts from April, 2019
MAANA YA JITIHADA KWENYE MAISHA.
- Get link
- X
- Other Apps
-------------------------- 1. TAFAKURI HAZINA MATUNDA THABITI, IKIWA HAKUNA UTENDAJI KAZI WENYE NATIJA NZURI. 2. MAJONZI YAKO MAISHANI NA MASIMAMZI VITADHIHIRIKA KWA WENGINE TU, IKIWA MSIMAMO WAKO UTAKUWA HAUNA PINGAMIZI, BASI HATA WATU WENGINE HAWATOKUPUUZA. 3. KATU USIVUNJE MATUMAINI YA MTU, ASAA IKAWA NI AKIBA YAKE YA PEKEE. 4. LAITI KAMA KATIKA HATUA YA AWALI, INGEKUWA KUNA MAFANIKIO YETU, BASI JITIHADA ZA MATENDO ZISINGEKUWA NA MAANA. 5. IKIWA MFALME ATAKUWA MWEMA KWAKO, BASI USIJIFAHARISHE WALA KUWA MUONEVU, TAMBUA KUWA TABIA YA MFALME NI MFANO WA MOTO NA MOYO WAKE HUNGURUMA KAMA SIMBA, HIVYO KUWA MWEMA KWA WENGINE KAMA UTENDEWAVYO. -------------------------- TAFAKARI!
BINADAMU.
- Get link
- X
- Other Apps
------------------------------------ Kamwe usijutie maisha ya mtu ambaye hujui ukweli kutoka ndani yake! Wivu ni aina ya mtu kukubali udhalili wake. Kila moyo una maumivu yake, isipokuwa tofauti ni jinsi ya kuyaweka wazi. Watu wengine hujaribu kuyaficha machoni mwao; Na wengine katika tabasamu zao! Sanda ni nyeupe, lakini ni ya kutisha na Kaaba ni nyeusi lakini ni nzuri na yenye kupendwa. Mwanadamu hupimwa kwa tabia yake, si kwa dhahiri yake. Kabla ya kuinua kichwa chako juu na kumshitakia Mungu ukosefu wa mafanikio yako. Shusha macho chini na Fikiria kile kidogo ulicho nacho na umshukuru Mungu... ------------------------------------ Tafakari...!!!
MAMBO 7 MUHIMU KWA MWENYE NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA.
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------------- 1. ANZA KUCHUKUA HATUA YA HARAKA YA KUTIMIZA WAZO LAKO AU KILE UNACHOTAKA KUFANYA. USISUBIRI KESHO. 2. FANYA WAZO LAKO LA BIASHARA AU UWEKEZAJI KUWA SEHEMU YA MAISHA YAKO YA KILA SIKU. 3. TAFUTA WATU WALIOFANIKIWA KATIKA BIASHARA; ILI WAWE MSAADA KWAKO NA KUFANYA WAZO LAKO LA BIASHARA KUWA HALISI. 4. ONGEZA UJUZI WAKO KWA KUCHUKUA HATUA YA KUJIFUNZA MAMBO MAPYA KILA SIKU. 5. JIFUNZE ZAIDI NAMNA BORA YA KUTANGAZA BIASHARA YAKO SOKONI NA ZAIDI KUWASILIANA NA WATEJA WAKO. 6. WEKA NA WEKEZA AKIBA YA FEDHA ZAKO ILI UZITUMIE KAMA MTAJI HAPO BAADAE. 7. USIKOPE FEDHA KIASI KIKUBWA; KAMA NDIO UNAANZA BIASHARA NA KAMA HUJAFAHAMU ZAIDI SOKO LA BIASHARA HUSIKA UNAYOTAKA KUFANYA. ---------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
HIZI NI BIASHARA 10 ZA KUFANYA WAKATI HUJUI BIASHARA IPI UFANYE.
- Get link
- X
- Other Apps
-------------------- 1. KUTENGENEZA CHAKI NA KUUZA MASHULENI. 2. KUFUNGUA DUKA LA ASALI. 3. KUANZISHA BIASHARA YA KUUZA VYAKULA KATIKA MAONYESHO NA MATAMASHA. 4. KUJENGA NYUMBA ZA KULALA WAGENI. 5. KUTENGENEZA MATOROLI AU MIKOKOTENI NA KUIKODISHA. 6. KUAZISHA BIASHARA YA HUDUMA YA AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZYPESA. 7. KUPAMBA MAHARUSI NA KUMBI ZA HARUSI NA SHEREHE MBALIMBALI. 8. KUANZISHA KILIMO CHA KISASA. 9. MASHINE ZA KUSAGA NA KUKOBOA NAFAKA. 10. YADI KWA AJILI YA KUPAKI MAGARI. -------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA.
SIRI 31 ZA MAFANIKIO KATIKA MAISHA.
- Get link
- X
- Other Apps
----------------------- SIRI YA KUMI NA SITA. itambue leo yako kuwa ndio siku ya kuanza. Kwa nini unafikiria kitu kilichotokea jana au kilichotendeka siku ya jana? Maisha ni mto ambao unaendelea kutiririka MAJI YAKE kwa kuendelea mbele. Hakuna tone lolote litakaloWEZA kupita chini ya daraja mara mbili. fanya kazi kwa njia mpya na nguvu mpya, na bora zaidi kuliko hapo awali. ------------------------- SIRI YA KUMI NA SABA. Panua mawazo yako na FIKIRIA ndoto ZAKO. Wakati nje ya bustani kuna upana mkubwa utaweza kutembea kila upande wa bustani. Kwa nini ujiweke NDANI YA jela ya mawazo yako. ------------------------- SIRI YA KUMI NA NANE. Usiruhusu mawazo yako na fikira zako viwe ada kwako. Jaribu usinase sehemu yoyote. Angalia kazi zako kila siku kwa pande mbalimbali na mawazo mapya. Maisha ni eneo lililojaa kila aina ya matukio. Angalia kona zote za maisha yako: Kuna ishara nzuri zinazoonyesha uvumbuzi mpya. ------------------------- SIRI YA KUMI NA TISA. Jam...
MANENO KUNTU... JISOMEE MWENYEWE.
- Get link
- X
- Other Apps
------------------- MPENZI MFUATILIAJI WA BLOG YA HEKIMA ZA LEO, KARIBU KWENYE BLOG YANGU KWA JINA LA (HEKIMA ZA LEO) INAYOKULETEA HEKIMA ZAKE MBALIMBALI, KUWA NAMI KATIKA MFULULIZO WA HEKIMA HIZI NA UNUFAIKE NA HEKIMA PAMOJA NA BUSARA ILI UFIKIE MALENGO KWA NASAHA UTAKAZOJIFUNZA KUPITIA BLOG HII. 1. HAKUNA KICHANGA KIZALIWACHO NI CHENYE MIAKA 30! 2. HAKUNA KITABU KIANZACHO NA UKURASA WA 267! 3. NA HAKUNA PUNJE IKUWAYO KWA SURA YA MTI WENYE MIAKA 40! 4. PIA HAKUNA MFANYA KAZI NDANI YA USIKU MMOJA ANASTAFU! 5. NA PIA HAKUNA ASKARI HATA MMOJA NIMJUAYE AMBAYE SIKU YA KUFUATA BAADA YA KUJIUNGA JESHI AMEKUWA JENERANI! ☀KWA AJILI YA UKAMILIFU WA MAFANIKIO YA KILA MOJA YA MAMBO HAYO, LAZIMA KICHUKUE MUDA NA KUTUMIA NGUVU! ☀KWA HAKIKA HII NDIO KANUNI YA MAZINGIRA! KWANI KILA MDUARA UNA MZUNGUKO WA KUFIKIA UKAMILIFU! HIVYO BASI USITARAJIE KUFIKIA LENGO LA MWISHO KWA JITIHADA CHACHE NA ZA USIKU MMOJA... ☀KWANI HATA WEWE HAUKO NJE YA MZUNGUKO HUU. ------------------...