Posts
AINA YA BIASHARA UNAWEZA ANZISHA PASIPO KUWA NA HELA (mtaji-fedha)/kidogo Sana.
- Get link
- X
- Other Apps
Wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndio uanzishe biashara na ndio sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha,Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu sana katika kuanzisha biashara,lakini kuna aina ya biashara ambazo zinahitaji gharama ndogo sana kuanzisha na kukupelekea kupata faida kubwa sana.Kama mfanyabiashara unaweza kutoka kwa kishindo sana kwa kuanza ukiwa huna kitu na kufanya kazi kwa juhudi sana ukiwa upande wa huduma(services) na kufanikiwa kutengeneza faida kubwa na kutokea hapo na kuanza kufikiria kuanza kukodi ofisi yako,kuajiri watu wengine nk ,ingawa ni rahisi kutoka ukiwa upande wa huduma lakini inahitaji ujuzi au weledi Fulani hivi ili uweze fika kilele cha mafanikio hapa simaanishi lazima uwe umesoma chuo kikuu maana ujuzi au utaalamu wa jambo halihusiani na degree ya chuo kikuu. Unaweza pata ujuzi kwa kuhudhuria semina mbalimbali,workshop mbalimbali,au kufundishwa na mtu wenye ujuzi husika na baada ya kupata ujuzi kuanza fanyia kazi kati...
AINA MBILI ZA MAWAZO.
- Get link
- X
- Other Apps
➕MTU MWENYE MAWAZO CHANYA. ➖MTU MWENYE MAWAZO HASI. ---------------------- ➕Mtu mwenye mawazo chanya, siku zote huwa ni mwenye Ratiba na mipango. ➖Mtu mwenye mawazo hasi, siku zote huwa ni mwenye visingizio. . ➕Mtu mwenye mawazo chanya, siku zote yeye mwenyewe ni sehemu ya majibu. ➖Mtu mwenye mawazo hasi, daima ni mtu mwenye kulalamikia matatizo. ➕Mtu mwenye mawazo chanya, katika kila jambo gumu huiona fursa. ➖Mtu mwenye mawazo hasi, katika kila fursa kwake ni jambo gumu. ➕Mtu mwenye mawazo chanya, hutafuta njia ya utatuzi wa matatizo. ➖Mtu mwenye mawazo hasi, huiona njia ya utatuzi kuwa ndio tatizo. ➕Mtu mwenye mawazo chanya, daima huzidisha marafiki. ➖Mtu mwenye mawazo hasi, siku zote huzidisha maadui. ➕Mtu mwenye mawazo chanya, siku zote hutenda jambo linalokubalika na wengi. ➖Mtu mwenye mawazo hasi, hukata tamaa ya kufanya jambo linalokubalika na wengi. ➕Mtu mwenye mawazo chanya, siku zote hutatua matatizo kwa kuvuta subira. ➖Mtu mw...
KWANINI TUNACHELEWA KUYAFIKIA MAFANIKIO YETU KWA HARAKA?? PATR 1.
- Get link
- X
- Other Apps
----------------------------------- KATIKA SAFARI YANGU YA KUTAFUTA SABABU, NILIJARIBU KUTAFAKARI MAANA YA NENO COMPANY (YAANI KAMPUNI), COMPANY NI NENO LA KIINGEREZA LENYE MAAA YA USHIRIKA. UHIRIKA KATIKA HISA NA BIASHARA NA MAUZO NA HATA MAPATO. MOJAWAPO YA SABABU ZA KUCHELEWA KUFIKIA MAFANIKIO YETU NI UBANIFASI WA KUTEGEMEA MAWAZO YETU BILA KUSHIRIKISHA MAWAZO YA WENGINE (KWA MAANA YA USHIRIKA). JIFUNZE KUMJENGEA MWENZAKO DHANA NZURI, HAKIKA USHIRIKA WENU UTALETA MAFANIKIO YA HARAKA. ----------------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA . NA: JB KAZINGATI
KUFELI KWAKO SIO KIKWAZO CHA KUFIKIA MALENGO YAKO.
- Get link
- X
- Other Apps
---------------------------- 1. HAIJALISHI UMEFELI MARA NGAPI BADO HUTAKIWI KUTOA NAFASI YA KUKATA TAMAA. 2. USISUBIRI MUDA MUAFAKA WA KUANZA KUTIMIZA WAZO LAKO ULILONALO. 3. UNAPOJITOA KUAZISHA JAMBO FULANI NDIPO WATU WANAPOJITOKEZA KUKUSAIDIA NA KUKUUNGA MKONO. ---------------------------- ZINGATIA MAMBO HAYA KABLA YA KUINGIA KATIKA BIASHARA. 1. WAZO LA BIASHARA. 2. UTAFITI WA WAZO LAKO. 3. TAFUTA MSHAURI. 4. TAFUTA MTAJI WA KUANZIA. 5. MTANDAO WA MAHUSIANO. ---------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA .
MASOMO 10 YA MAISHA UNAYOHITAJI ILI UFANIKIWE:
- Get link
- X
- Other Apps
--------------------------------- 1. TAMBUA KUWA HATUA YA KWANZA DAIMA NI HATUA NGUMU ZAIDI. 2. KUFIKIA MAMBO MAZURI NI JAMBO AMBALO HUCHUKUA MUDA MREFU. 3. UJISHUGHULISHAJI SI SAWA NA UZALISHAJI. 4. UDHIBITI WAKO DAIMA UWE CHINI YA KIASI NA KILE UNACHOTAKA. 5. WEWE NI MFANO WA WALE AMBAO HUTUMIA MUDA WAKO PAMOJA NAO. 6. MATATIZO MAKUBWA NI YA AKILI. 7. THAMANI YAKO LAZIMA IWE NDANI. 8. SI KWAMBA WATU WOTE WATAKUWA WATETEZI WAKO. 9. HAKUNA UKAMILIFU. 10. HOFU NI CHANZO CHA KWANZA CHA MAJUTO. --------------------------------- DAIMA KUMBUKA KUWA UJASIRIAMALI SIO KAZI! UJASIRIAMALI NI MFUMO WA MAISHA .
MAANA YA JITIHADA KWENYE MAISHA.
- Get link
- X
- Other Apps
-------------------------- 1. TAFAKURI HAZINA MATUNDA THABITI, IKIWA HAKUNA UTENDAJI KAZI WENYE NATIJA NZURI. 2. MAJONZI YAKO MAISHANI NA MASIMAMZI VITADHIHIRIKA KWA WENGINE TU, IKIWA MSIMAMO WAKO UTAKUWA HAUNA PINGAMIZI, BASI HATA WATU WENGINE HAWATOKUPUUZA. 3. KATU USIVUNJE MATUMAINI YA MTU, ASAA IKAWA NI AKIBA YAKE YA PEKEE. 4. LAITI KAMA KATIKA HATUA YA AWALI, INGEKUWA KUNA MAFANIKIO YETU, BASI JITIHADA ZA MATENDO ZISINGEKUWA NA MAANA. 5. IKIWA MFALME ATAKUWA MWEMA KWAKO, BASI USIJIFAHARISHE WALA KUWA MUONEVU, TAMBUA KUWA TABIA YA MFALME NI MFANO WA MOTO NA MOYO WAKE HUNGURUMA KAMA SIMBA, HIVYO KUWA MWEMA KWA WENGINE KAMA UTENDEWAVYO. -------------------------- TAFAKARI!